HABARI

TUNALENGA KUJENGA KIWANJA CHA HADHI KILIFI – DAMA MASHA

Serikali ya kaunti ya Kilifi inalenga kukiboresha kiwanja cha michezo cha Water mjini Kilifi ili kuimarisha sekta  ya michezo. Kulingana wa warizi wa jinsia na michezo kaunti ya Kilifi Ruth Dama Masha kaunti ya kilifi haina viwanja ambavyo vina hadhi ya kitaifa hali ambayo inawafanya vijana wengi wanakosa nafasi ya kuinua vipaji vyao . Waziri […]

TUNALENGA KUJENGA KIWANJA CHA HADHI KILIFI – DAMA MASHA Read More »

MASHABIKI WA MALINDI WAMEANZA KUSTAARABIKA – BERNARD LUSI

Nahodha wa klabu ya Malindi Progressive Bernard Lusi ameeleza kufurahishwa na mashabiki wa malindi kwa kuonyesha ustaarabu kwenye mechi kwa sasa tofauti na zamani ambapo katika mechi za dabi za eneo bunge la malindi kumekuwa kukishuhudiwa vurugu. Alikuwa akiyasema hayo baada ya mechi ya jana ambapo Malindi Progressive walipoteza kwa kichapo cha mabao 2-1 ugenini

MASHABIKI WA MALINDI WAMEANZA KUSTAARABIKA – BERNARD LUSI Read More »