HABARI

VISA VYA UKEKETAJI VINGALI VINAENDELEZWA KWENYE KAUNTI YA LAMU

Afisa wa nyanjani wa shirika la kijamii la KIUNGA YOUTH BUNGE kaunti ya Lamu Moses Maina amethibitisha kuwa wameanzisha kampeni dhidi ya ukeketaji katika sehemu za mashinani kaunti ya Lamu. Maina amesema wamechukua hatua hiyo kutokana na kile ambacho anadai kuchangiwa na ongezeko la visa vya ukeketaji na dhuluma za kijinsia katika kaunti hiyo. Aidha, […]

VISA VYA UKEKETAJI VINGALI VINAENDELEZWA KWENYE KAUNTI YA LAMU Read More »

PAUL KATANA AITAKA TUME YA POLISI NCHINI KUWAHAMISHA BAADHI YA MAAFISA WA POLISI WALIOHUDUMU KWA MIAKA MINGI ENEO LA KALOLENI

Mbunge wa Kaloleni kaunti ya Kilifi Paul Katana ameitaka tume ya huduma za polisi nchini kuwahamisha baadhi ya maafisa wa polisi ambao wamehudumu kwa miaka mingi katika eneo bunge hilo la Kaloleni. Kulingana na Katana uhasama ambao umekuwa ukidhiirika kati ya maafisa wa polisi na wenyeji umechangiwa na maafisa hao. Kutokana na hilo sasa ameahidi

PAUL KATANA AITAKA TUME YA POLISI NCHINI KUWAHAMISHA BAADHI YA MAAFISA WA POLISI WALIOHUDUMU KWA MIAKA MINGI ENEO LA KALOLENI Read More »

HIMIZO LATOLEWA KWA WENYEJI WA GANDA KAUNTI YA KILIFI KUTAFUTA MAENEO MAALUMU YA MIRADI YA SERIKALI KUTEKELEZWA

Naibu chifu wa eneo la Ganda kaunti ya Kilifi Ann Ziro amewahimiza wenyeji kutafuta maeneo maalum na ya yaliyosalama kwa miradi ya umma ambayo inapendekezwa kutekelezwa na serikali. Ann Ziro amesema ni kupitia hatua hiyo ambapo miradi hiyo inatekelezwa kwa haraka ili kuwanufaisha wenyeji wa eneo hilo. Akizungumza katika eneo hilo la Ganda kwenye kikao

HIMIZO LATOLEWA KWA WENYEJI WA GANDA KAUNTI YA KILIFI KUTAFUTA MAENEO MAALUMU YA MIRADI YA SERIKALI KUTEKELEZWA Read More »