BENSON OMALA YWAIPEPERUSHA KOGALO
Benson Omala fowadi wa klabu ya Gor Mahia ameisaidia timu yake kuishinda Wazito FC katika dimba la Kasarani na kupanda hadi nafasi kwanza katika ligi kuu FKF. ‘Hatrick’ ya Omala ambaye ni mchezaji wa zamani wa Western Stima katika ingwe ya kwanza ya mchezo wa leo pamoja na bao la John Ochieng ndiyo mabao yalitosha […]
BENSON OMALA YWAIPEPERUSHA KOGALO Read More »



