WATU ELFU NNE WANAUGUA KIFAFA KAUNTI YA KILIFI
Kati ya wakenya takribani milioni 1.5 wanaougua ugonjwa wa kifafa kote nchini, elfu 14 kati ya wakenya hao ni wakaazi wa kaunti ya Kilifi. Haya ni kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala ya Kifafa kaunti ya Kilifi Daktari Eddy Chengo, ambaye amesema kutokana na kuwepo kwa idadi hiyo, ipo haja ya mashirika ya kijamii, Serikali […]
WATU ELFU NNE WANAUGUA KIFAFA KAUNTI YA KILIFI Read More »



