WENYE JIJI LA MANCHESTER WAVUNA WIKENDI
Klabu ya Manchester City jana ilisajili ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya Aston Villa katika uwanja wao wa nyumbani Etihad. Mabao ya ushindi huo kwa vijana wa Pep Guardiola zyalifungwa na Rodri, goli la ikay Gondogan katika dakika ya 39 na hatimaye ryad Mahrez kugongelea msumari ushindi huo kupita mkwaju wa penalty kabla […]
WENYE JIJI LA MANCHESTER WAVUNA WIKENDI Read More »



