HABARI

SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA INAWEKEZA KUWAWEZESHA VIJANA WANAOZOA TAKA

Naibu gavana wa kaunti ya Mombasa Francis Thoya amesema serikali ya kaunti hiyo itawekeza zaidi katika kuwawezesha vijana ambao wanazoa taka ili wanaufaike. Kulingana na Thoya kuna makundi mbalimbali ya vijana katika kaunti ya Mombasa ambao wanafanya kazi ya kuzoa taka na makundi hayo yanapaswa kuwezeshwa ili kunufaika kimapato. Akizungumza huko Shanzu baada ya kukutana […]

SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA INAWEKEZA KUWAWEZESHA VIJANA WANAOZOA TAKA Read More »

SERIKALI YA CANADA YATOA UFADHILI WA SHILINGI BILIONI MBILI

Serikali ya Canada imetoa ufadhili wa shilingi bilioni 2 ili kufanikisha masomo ya kiufundi katika vyuo vya mafunzo ya anuai nchini Kenya. Akizungumzia ufadhili huo waziri wa masuala ya Kigeni Daktari Alfred Mutua amesema serikali hiyo ya Canada imeahidi kuongeza shilingi bilioni 2 zaidi ili kuboresha masomo hayo na pia kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi wa

SERIKALI YA CANADA YATOA UFADHILI WA SHILINGI BILIONI MBILI Read More »

UONGOZI WA SHULE YA MSINGI YA CENTRAL MJINI MALINDI YALALAMIKIA UHABA WA WALIMU

Mwakilishi wa kamati ya uongozi wa shule ya msingi ya Central mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Jokoleah Mugoi Mwamburi amesema shule hiyo ambayo iliafikia vigezo hitajika vya wizara ya elimu nchini kwa ajili ya masomo ya Sekondari Msingi, Junior Secondary inakabiliwa na changamoto za ukosefu wa madarasa, madawati na walimu wa kutosha. Akizungumza na lulu

UONGOZI WA SHULE YA MSINGI YA CENTRAL MJINI MALINDI YALALAMIKIA UHABA WA WALIMU Read More »