HABARI

MIKAKATI YA KUWAKABILI WANAFUNZI WANAOTUMIA DAWA ZA KULEVYA SHULENI INAENDELEZWA MALINDI

Naibu chifu wa wadi ya Shella eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, Nichodemus Mwayele Ndundi, amesema wanaendeleza mikakati ya kuwakabili wanafunzi ambao wanatumia dawa za kulevya na pia kudhibiti visa vya mimba za utotoni mjini Malindi. Katika mazungumzo ya kipekee na mwanahabari wetu baada ya kuandaa mkutano ambao uliwahusisha walimu na wazazi katika shule ya […]

MIKAKATI YA KUWAKABILI WANAFUNZI WANAOTUMIA DAWA ZA KULEVYA SHULENI INAENDELEZWA MALINDI Read More »