BAA LA NJAA LINAENDELA KUWAATHIRI WENYEJI WA LAMU
Zaidi ya wakaazi elfu 20 katika kaunti ya Lamu wameathirika na baa la njaa kutokana na kiangazi cha muda mrefu kichoendelea kushuhudiwa eneo hilo kufuatia ukosefu wa mvua . Takwimu hizi ni kutoka kwa shirika la kitaifa la kukabiliana na majanga ya ukame NDMA huku kisiwa cha Ndau, Pate na Kiwayu yakitajwa kama maeneo yalioathirika […]
BAA LA NJAA LINAENDELA KUWAATHIRI WENYEJI WA LAMU Read More »



