SHEE ALI AACHANA NA YOUNG BULLS
Beki kigingi Shee Ali ameachana rasmi na klabu ya Young Bulls inayocheza daraja la kwanza kitaifa na kusajiliwa na klabu ya Furunzi FC inayocheza ligi ya daraja la pili kitaifa. Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja sasa difenda huyo hajakuwa akipiga zoezi na Young Bulls inayoongoza ligi ya daraja la kwanza kutokana na kukosa nafasi […]
SHEE ALI AACHANA NA YOUNG BULLS Read More »



