YOUNG BULLS HAISHIKIKI DARAJA LA KWANZA
Klabu ya Young Bulls imesajili ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Rainbow fc katika uwanja wa shule ya upili ya malindi kaunti ya Kilifi. Bao la ushindi na lakipekee katika mechi hiyo limefunga na Alex Mwalimu na kuwafanya vijana hao wa mkufunzi Ali Said Gaucho kurefusha pengo lao na nafasi ya pili hadi […]
YOUNG BULLS HAISHIKIKI DARAJA LA KWANZA Read More »



