TUTATETEA UBINGWA – MATANO
Mkufunzi wa klabu ya wanamvinyo Tusker fc Robert Matano amesema vijana wake wako tayari kutetea ubingwa wao katika ligi ya fkf msimu huu. Hii ni baada ya jana kusajili ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AFC Leopards katika uwanja wa nyayo. Alama hizo tatu za jana zinawafanya kupunguza pengo lao na vinara wa ligi Gor […]
TUTATETEA UBINGWA – MATANO Read More »



