HABARI

ASHTON RANGERS KURINDIMANA NA MARIAKANI YOUTH, KOYUGI AKIPATA HIFADHI

Mechi ya daraja la pili kitaifa kati ya Mariakani Youth dhidi ya Ashton Rangers itakuwa inarindimwa rasmi mchana wa leo (10-4-2023) katika dimba la chuo cha kiufundi cha mariakani mwendo wa saa tisa. Wakati hayo yakijiri mechi ya vija awa mkufunzi Peter Mole waite Beach Bay iliyofaa kufanyika jana katika uwanja wa mjanaheri sasa imeahirishwa […]

ASHTON RANGERS KURINDIMANA NA MARIAKANI YOUTH, KOYUGI AKIPATA HIFADHI Read More »

TUTASAJILI WACHEZAJI WENYE TAJRIBA PEKEE – MWABATI

Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Young Bulls Johnson Mwabati anasema kwamba amefurahishwa na hatua ambayo klabu yake imepiga msimu huu. Kwa sasa klabu hiyo inaongoza ligi na alama 39 kwenye daraja la kwanza kitaifa na Mwabati anasema kwamba bado vijana wake wana njaa ya kusajili ushindi zaidi. Wikendi ijayo Young Bulls watakuwa wanashuka dimbani dhidi

TUTASAJILI WACHEZAJI WENYE TAJRIBA PEKEE – MWABATI Read More »