YANGA YAUGULIA MAAFA YA WACHEZAJI WAO
Mkufunzi Collins Omol anasema kwamba klabu yake ya Yanga FC inayoshiriki ligi ya daraja la pili kitaifa inakabiliwa na kipindi kigumu kurudisha motisha miongoni mwa wachezaji baada ya wachezaji watatu wa timu hiyo kufariki dunia kutokana na ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha basi la chuo kikuu cha pwani walilokuwa wameabiri kuelekea michezoni katika kaunti ya […]
YANGA YAUGULIA MAAFA YA WACHEZAJI WAO Read More »



