HABARI

MANCHESTER CITY YATIA GUU MOJA SEMUI FAINALI YA UEFA

Manchester City inayoongozwa na mkufunzi Pep Guardiola imetia guu moja ndani ya semi  fainali za uefa msimu huu baada ya kusajili ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya klabu ya Bayern Munich Katika uwanja wao wa nyumbani Etihad. Kiungo mhispania Rodri ndiye alikuwa wa kwanza kuifungia Manchester City kabla ya Bernado Silver kuitendea haki assist ya […]

MANCHESTER CITY YATIA GUU MOJA SEMUI FAINALI YA UEFA Read More »

MAOMBOLEZI YAKATISHA MAANDALIZI YA ‘DERBY’ YA KILIFI

Mkufunzi Collins Omol wa klabu ya Yanga FC amesema maombolezi pamoja na michango ya mazishi ya baadhi ya wachezaji wake waliokufa katika ajali mbaya ya barabarani walipokuwa wanasafiri na basi ya chuo cha pwani ndio chanzo cha kulazimishwa kuairishwa kwa mechi kati yao na Beach Bay kutofanyika siku ya jumapili wikendi ilopita. Mechi hiyo  sasa

MAOMBOLEZI YAKATISHA MAANDALIZI YA ‘DERBY’ YA KILIFI Read More »

UEFA KUREJEA LEO RASMI

Mashindano ya kombe la dunia yatakuwa yanarejea rasmi usiku wa leo katika hatua ya robo fainali na mechi mbili zimeratibiwa kurindimwa. Benfica ya ureno watakuwa wanaikaribisha inter Milan ya italia katika dimba lao la nyumbani la Estado da Luz Katika dimba la etihad Manchester City watakuwa wanawakaribisha miamba wa ujerumani Bayern Munich inayoongozwa na mkufunzi

UEFA KUREJEA LEO RASMI Read More »