VILABU VYA MASHINANI VYAPEANA ‘WALK OVER’ SANA KISA UKOSEFU WA HELA
Klabu ya Deep Sea kutoka kaunti ya Lamu jana ilizawadiwa alama tatu na mabao 2-0 kutokana na wapinzani wao Inter Dabaso kutoka mji wa watatu kaunti ya kilifi kukosa kuheshimu ratiba. Hii inakuwa ni mechi ya tano katika kipindi cha mwezi mmoja kwenye ligi ya daraja la pili kitaifa vilabu vinakosa kuhesimu ratiba katika mechi […]
VILABU VYA MASHINANI VYAPEANA ‘WALK OVER’ SANA KISA UKOSEFU WA HELA Read More »



