TUTASHINDA MATAJI YOTE MSIMU HUU – KOGALO
Mkufunzi Johnnathan McKINSTRY wa klabu ya Gor Mahia anasema kwamba msimu huu vijana wake wanalenga kushinda mataji yote msimu huu. Ameyazungumza hayo baada ya kusajili ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Vihiga Bullets wiki hii na kurefusha uongozi wao ligini hadi alama 6 dhidi ya wapili Tusker fc. Katika ligi ya mashindano ya kombe la […]
TUTASHINDA MATAJI YOTE MSIMU HUU – KOGALO Read More »



