KISHADA YAPIGWA SHOKA NA FKF
Klabu ya Kishada imepewa adhabu na shirikisho la soka katika daraja la pili kitaifa, adhabu ya kutolewa alama tatu baada ya kususia kuendelea na mechi dhidi ya klabu ya Kamtonga kutoka kaunti ya Taita Taveta. Kulingana na taarifa zilizofikia Tama la Spoti ni kwamba klabu ya Kishada walikataa kuendelea na mechi baada ya kamtonga kupewa […]
KISHADA YAPIGWA SHOKA NA FKF Read More »



