WACHEZAJI WALIA NJAA FURUNZI
Mkufunzi wa klabu ya Furunzi FC Nero Chishenga amesema kwamba ukata wa kifedha unazidi kudidimiza klabu yake jambo ambalo linawafanya kukosa kuandikisha matokeo mazuri katika ligi msimu huo ambao ndio wao wa kwanza katika ligi ya daraja la pili kitaifa. Ameambia Tama la spoti kwamba wachezaji wake wanasafiri kucheza mechi za mbali wakiwa njaa, mbali […]
WACHEZAJI WALIA NJAA FURUNZI Read More »



