KISHADA YAVUNA ALAMA, FURUNZI IKIUGUA
Klabu ya Kishada FC katika ligi ya daraja la pili kitaifa imepewa alama tatu baada ya klabu ya Furunzi fc inayoongozwa na mkufunzi Nero Chishenga Kushindwa kulipa hela za kusimamia refa wa mechi yao jana katika uwanja wa shule ya Upili ya Joho Girls katika kaunti ya Mombasa. Mechi hiyo ililazimika kusitishwa kabla kipindi cha […]
KISHADA YAVUNA ALAMA, FURUNZI IKIUGUA Read More »



