WACHENI USHIRIKINA KWENYE SOKA- KATANA
Mkufunzi wa klabu ya Malindi Progressive Elly Katana ametilia pondo suala la kuwepo kwa ushirikinna viwanjani hasa katika soka la kaunti ya Kilifi. Mkufunzi huyo ambaye klabu yake ilipoteza katika mechi ya ‘Mudzini dabi’ kwa kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Young Bulls katika uwanja wa Alaskan amethibitisha ukweli wa kauli za baadhi ya mashabiki […]
WACHENI USHIRIKINA KWENYE SOKA- KATANA Read More »



