HABARI

BORUSSIA YANYATIA UBINGWA WA BUNDESLIGA HUKU BAYERN IKIMEZA MATE TU!

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Borrussia Dortmund kule Ujerumani mwite Edin Terzic anasema kwamba kurudi kwa Sebastian Haller baada ya kufanyiwa upasuaji ndio jambo linalozidi kuwapa Matumaini ya kunyanyua ubingwa wa Bundesliga msimu huu. Katika mechi ya jana Sebastian Haller ambaye ni raia wa Ivory Coast alipachika mabao mawili wavuni mabao yaliyosaidia kuipa Borrussia ushindi […]

BORUSSIA YANYATIA UBINGWA WA BUNDESLIGA HUKU BAYERN IKIMEZA MATE TU! Read More »

MANCHESTER CITY YASHINDA UBINGWA, KYLE WALKER AKITISHIA MASHETANI WEKUNDU

Klabu ya Manchester City ndio mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu 2022/2023 baada ya kusajili matokeo mazuri msimu huu. Licha ya kushinda 1-0 dhidi ya Chelsea katika mechi ya jana (Jumapili) Manchester City inayoongozwa na mkufunzi Pep Guardiola ilikuwa imetangazwa mabingwa baada ya washika mtutu wa London Arsenal kupoteza kwa Nottingham Forest 1-0.

MANCHESTER CITY YASHINDA UBINGWA, KYLE WALKER AKITISHIA MASHETANI WEKUNDU Read More »

HII NDIO NAFASI NZURI YA KUJIUZA KAMA MCHEZAJI – BENSON OMALA

Klabu ya GOR Mahia ambao ndio viongozi wa ligi kuu ya Fkf  nchini watakuwa wanavaana na AFC Leopards wikendi hii katika daby ya mashemeji hao wawili itakayopeperushwa moja kwa moja na televisheni ya kitanzania Azam TV kama makubaliano na shirikisho la soka hapa nchini. Benson Omala ambaye ni mshambuliaji anayetegemewa sana na klabu yake ya

HII NDIO NAFASI NZURI YA KUJIUZA KAMA MCHEZAJI – BENSON OMALA Read More »