ZIWANI YOUTH YAPATA PIGO
Klabu ya Ziwani Youth sasa imepata pigo baada ya mchezaji wake mmoja kulazimika kukaa nje kwa takriban mwezi mmoja kutokana na jeraha la goti. Mohamed Abongo ambaye ni beki wa kushoto wa klabu hiyo ya kaunti ya Mombasa inayoshiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa alipata jeraha hiyo walipokuwa wanavaana na klabu ya Yanga […]
ZIWANI YOUTH YAPATA PIGO Read More »



