SHABANA YAZIDI KUJENGA MISULI YA 2023/2024
Klabu ya Shabana FC ambayo msimu ujao itakuwa inashiriki katika ligi kuu ya fkf hapa nchini kwa mara ya kwanza baada ya takriban miaka 30 inalenga kumtangaza mdhamini mkuu wa shati katika sare zao hii leo wanapozidi kujenga misuli yao kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2023/2024. Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati […]
SHABANA YAZIDI KUJENGA MISULI YA 2023/2024 Read More »



