MERE BADO YAONGOZA LIGI YA MALINDI
Klabu ya Mere fc licha ya kupoteza mechi yao jana katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Arrow Head kwa kichapo cha mabao 3-2 inazidi kuongoza ligi ya eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi kwa alama 35 alama moja mbele ya Real Galana walio katika nafasi ya pili na mechi moja mkononi. Samuel Koi wa […]
MERE BADO YAONGOZA LIGI YA MALINDI Read More »



