KOMPANY NA HANSI FLICK WAPATA KAZI
Klabu ya Bayern Munich sasa ni rasmi imemthibitisha Vincent Kompany kuwa mkufunzi wao kuelekea siku za usoni katika uhamishounaoingia katika historia ya sokakuwa uhamisho wa kushtukiza. Vincent Kombani ni kocha wa zamani wa klabu ya Burnley ambayo chini ya Uongozi wake imeshuka daraja kutoka ligi kuu ya uingereza hadi championship. Kompany mwenye umri wa miaka […]
KOMPANY NA HANSI FLICK WAPATA KAZI Read More »



