OLUNGA KUNUNUA KLABU USWIDI
Nahodha wa timu ya taifa ya Harambe Stars Michael Olunga anakaribia kuinunua klabu moja huko Uswidi katika harakati zake za kutaka kuongeza umiliki wa vilabu na tasnia yake ya soka kukua zaidi. Olunga ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Al Duhail ya huko Qatar anaripotiwa kutaka kuinunua AFC Eskilstuna inayoshiriki ligi ya daraja la tatu […]
OLUNGA KUNUNUA KLABU USWIDI Read More »



