ATALANTA YATWA UBINGWA UROPA
Klabu ya Atalanta ya kule Italia ndio mabingwa wa kombe la Europa msimu huu kwa kuichapa klabu ya Bayer Leverkusen kichapo cha mabao 3-0 Ademola Lookman ndiye aliyeingia kambani mara tatu akifunga ‘hatrick’ katika fainali hiyo. Kipigo hicho kinakatisha msururu wa kukosa kupoteza mechi kwa Bayer Leverkusen ya Xabi Alonso msimu huu baada ya mechi […]
ATALANTA YATWA UBINGWA UROPA Read More »



