KOGALO KUPATA MABAO BAADA YA UBINGWA WA 21 – OWALO
Huenda wachezaji wa klabu ya Gor Mahia wakapata makazi rasmi katika siku za usoni kama njia moja ya kuzidi kuimarisha miundo msingi ya klabu hiyo kulingana na hadhi yake kitaifa na kimataifa. Hiyo ni kulingana na Eliud Owalo ambaye ni waziri wa masuala ya teknolojia na mawasiliano nchini lakini pia shabiki sugu wa klabu hiyo. […]
KOGALO KUPATA MABAO BAADA YA UBINGWA WA 21 – OWALO Read More »



