JUNIOR STARLETS YAFUZU KWA RAUNDI YA NNE
Timu ya taifa ya kinadada wasiozidi umri wa miaka 17 hapa nchini Kenya Junior Starlets wamefuzu kutinga katika raundi ya nne na ya mwisho katika harakati zao za kutaka kuwakilisha Kenya katika mashindano ya kombe la dunia kwa wachezaji hao wachanga. Wamefuzu baada ya kuipiga Ethiopia kichapo cha mabao 3-0 katika ardhi ya nyumbani kwenye […]
JUNIOR STARLETS YAFUZU KWA RAUNDI YA NNE Read More »



