McKINSTRY AIHOFIA SHABANA
Mkufunzi mkuu wa Gor Mahia amabo ni viongozi wa ligi kuu ya FKF nchini, Jonathan McKinstry ameeleza kuwa anatarajia ushindani mkali kutoka kwa wapinzani wake Shabana wikendi ijayo. McKinstry anasema Shabana ni timu inayopambana kuepuka kushuka daraja, hali halisi ambayo inamfanya kuhisi mchezo huo utakuwa mgumu kwa upande wake. Shabana imeshinda mechi tatu na kutoka […]
McKINSTRY AIHOFIA SHABANA Read More »



