MAFURIKO YALETA TAHARUKI MICHEZONI
Shuhuli za michezo katika kaunti ya Tana River na sehemu tofauti za pwani zimepata pigo kutokana na mvua nyingi inayoendelea kunyesha. Katika kaunti ya Tana River kwa mfano huenda ligi ya soka kaunti ya Tana River ikasitishwa kwa muda katika baadhi ya maeneo kufuatia mafuriko ambayo yanaendelea kukumba kaunti hii na kuathiri maelfu ya wakazi […]
MAFURIKO YALETA TAHARUKI MICHEZONI Read More »



