FKF YATISHIA KUFUNGIA TIMU ZA MALINDI
‘Shirikihso la soka la FKF mjini Malindi limetangaza kuwa vilabu ambavyo vitakuwa havijakamilisha malipo ya kushiriki katika ligi ya eneo bunge hilo huenda ikatolewa kabisa kwenye ligi. Hii ni kulingana na mwenyekiti wa tawi hilo Tom Lango ambaye ameambia Tama La Spoti kuwa wanalenga kutumia hela hizo kuwazawidi wachezaji mwisho wa msimu. Anaseka kikao hicho […]
FKF YATISHIA KUFUNGIA TIMU ZA MALINDI Read More »



