BUMBANI STARS YAPANGA KUUZA TALANTA
Klabu ya Bumbani Stars kutoka kaunti ya Kwale licha ya kuwa huu ndio msimu wake wa kwanza katika ligi ya daraja la pili kitaifa inaendelea kuadhikisha matokeo mazuri katika ligi hiyo msimu huu. Akizungumza na Tama La Spoti baada ya klabu hiyo kuipiga Kamtonga kutoka Taita Taveta kichapo cha mabao 2-0 wikendi ilopita, Mwaduka bakari […]
BUMBANI STARS YAPANGA KUUZA TALANTA Read More »



