MICHEZO YA SHULE ZA UPILI MALINDI YAANDIKISHA HISTORIA
Michezo ya shule za upili katika eneo bunge la Malindi imepiga hatua kiasi cha kuandikisha historia muhula huu ya kuwa na mashindano ya raga ya wasichana ya wachezaji saba kila upande ambao watashiriki. Kulingana na katibu wa michezo hiyo mjini Malindi kaunti ya Kilifi Samuel Mulat ambaye amezungumza na Lulu FM kupitia njia ya simu […]
MICHEZO YA SHULE ZA UPILI MALINDI YAANDIKISHA HISTORIA Read More »



