JUNIOR STARLETS HAIPO MBALI NA WORLD CUP!
Timu ya taifa ya kinadada ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 18 Junior Starlets imesalia na kiunzi kimoja pekee wacheze mashindano ya kombe la dunia mwaka huu kwa wachezaji wachanga. Hii ni baada ya jana kusajili ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Burundi huko Addis Ababa Ethiopia ambako mabao ya Lorna Faith, Marion Serenge, Susan […]
JUNIOR STARLETS HAIPO MBALI NA WORLD CUP! Read More »



