MICHEZO YALETA WATU PAMOJA KILIFI
Idara tofauti za serikali kutoka kaunti ya Kilifi zimejumuika na wakaazi kwa lengo la kutangamana na kujenga uwiano. Michezo mbalimbali imeandaliwa katika Chuo kikuu cha pwani huko Kilifi kuwaleta pamoja maafisa kutoka idara ya mahakama, polisi na idara ya mashtaka, wanabodaboda pamoja na wakaazi ili kuwahamasisha kuhusu ubora na kuelewa jinsi ya idara za serikali […]
MICHEZO YALETA WATU PAMOJA KILIFI Read More »



