Kaunti

U-TURN KUANDAA MASHINDANO YA ‘SOKA LA YESU’ TENA

Kikundi cha wainjilisti cha U-Turn Society mjini Malindi kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na kanisa la Life Church International Malindi kinalenga kuandaa mashindano ya soka yanayojulikana kama Mbuzi Football Tournament mwezi huu. Kulingana na waandalizi wa mashindano hayo ni kwamba lengo kuu ni kukuza vipaji vya vijana pamoja na kueneza injili ya Yesu Kristo kwa […]

U-TURN KUANDAA MASHINDANO YA ‘SOKA LA YESU’ TENA Read More »