Kaunti

ALEX MWALIMU KUENDELEA KUKOSA MECHI ZA YOUNG BULLS

Klabu ya Young Bulls itazidi kumkosa mshambulizi wake nguli Alex Mwalimu mzawa wa Matsangoni kaunti ya Kilifi kutokana na majeraha. Alex aliumia katika mechi ya Mudzini Derby dhidi ya Malindi Progressive ambapo walishinda kwa bao 1-0 mwezi mei. Kwa sasa Young Bulls itakuwa bila mshambuliaji huyo ambaye amewasaidia sana msimu huu katika kusajili matokeo mazuri. […]

ALEX MWALIMU KUENDELEA KUKOSA MECHI ZA YOUNG BULLS Read More »

MAANDALIZI YA MASHINDANO YA KUMTANGAZA YESU KRISTO YANOGA MALINDI

Waandalizi wa mashindano ya soka ya  Mbuzi  Football Tournament (U-Turn na Life Church International Malindi) yanayolengwa kufanyika wiki ijayo katika shule ya msingi ya Central mjini Malindi kaunti ya kilifi wanasema kwamba mashindano hayo yanazidi kuvutia vilabu vingi mashinani. Mashindano hayo yanayolenga kueneza injili ya Yesu Kristo kwa vijana wa eneo la Malindi yalifaa kuhusisha

MAANDALIZI YA MASHINDANO YA KUMTANGAZA YESU KRISTO YANOGA MALINDI Read More »