Kaunti

KAMISHNA WA KWALE AWAONYA WENYEJI DHIDI YA KUNYAKUA ARDHI ZANAZOMILIKIWA NA SERIKALI

Kamishna wa kaunti ya Kwale Gideon Oyagi amewaonya wakaazi wanaonuia kunyakua ardhi zinazomilikiwa na serikali akisema watakaopatikana watakabiliwa kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika kaunti ndogo ya Shimba Hills kaunti ya Kwale, Oyagi amesema kwa sasa wakaazi wengi wa eneo hilo wamekuwa wakidumisha ushirikiano na serikali ya kaunti kwa kulinda ardhi zinazomilikiwa na serikali. Oyagi […]

KAMISHNA WA KWALE AWAONYA WENYEJI DHIDI YA KUNYAKUA ARDHI ZANAZOMILIKIWA NA SERIKALI Read More »

PATIENCE NYANGE ASISITIZA HAJA YA SERIKALI YA KAUNTI YA TAITA TAVETA KUWASHIRIKISHA VIJANA NA WANAWAKE

Aliyekuwa mwaniaji wa wadhifa wa ugavana kaunti ya Taita Taveta Patience Nyange amesisitiza haja ya wanawake na vijana kaunti hiyo kushirikishwa kikamilifu kwenye uongozi wa kaunti hiyo. Nyange amesema anapania kushirikiana na gavana wa sasa Andrew Mwadime sawia na mashirika mbalimbali yasiokuwa ya kiserikali ili kuhakikisha masuala ya vijana na wanawake yanapewa kipaumbele. Nyange pia

PATIENCE NYANGE ASISITIZA HAJA YA SERIKALI YA KAUNTI YA TAITA TAVETA KUWASHIRIKISHA VIJANA NA WANAWAKE Read More »