Kaunti

TUKO NA IMANI NA GAVANA WA SASA KATIKA MICHEZO – MWABATI

Mwenyekiti wa klabu ya Young Bulls Jonson Mwambati amesema kwamba ako na matumaini makubwa na serikali ya kaunti ya kilifi katika kuimarisha michezo mashinani katika siku za usoni. Mwambati amesema kwamba kama wanamichezo katika kaunti ya kilfi wana matumaini makubwa na gavana wa sasa Gedion Maitha Mungaro kwamba atasaidia ukuaji wa talanta na michezo kupitia […]

TUKO NA IMANI NA GAVANA WA SASA KATIKA MICHEZO – MWABATI Read More »

SANGO SPORTIFF YAZIDI KUANDIKISHA MATOKEO MAZURI KWENYE MSIMU WAO WA KWANZA DARAJA LA PILI

Mkufunzi wa klabu ya Sango Sportiff Righo Jillo amesema kwamba ana matumaini makubwa kuwa klabu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la pili kitaifa itazidi kuandikisha matokeo mazuri na hatimaye kupanda hadi daraja la kwanza mwisho wa msimu. Ameyasema hayo baada ya wikendi ilopita kusajili ushindi wa kishujaa dhidi ya klabu ya Beach Bay kutoka magarini

SANGO SPORTIFF YAZIDI KUANDIKISHA MATOKEO MAZURI KWENYE MSIMU WAO WA KWANZA DARAJA LA PILI Read More »

MCHEZAJI WA KAMTONGA AENDELEA NA MATIBABU YA JERAHA LA MGUU

John King’oo ambaye ni nahodha wa klabu ya Kamtonga fc kutoka kaunti ya Taita Taveta inayoshiriki ligi ya daraja la pili kitaifa huenda akasalia mkekani kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na jeraha alilopata mwezi machi mwaka huu alipovunjika mguu wake katika mechi dhidi ya klabu ya Yanga kutoka Malindi katika uwanja wa Alaskan ulioko

MCHEZAJI WA KAMTONGA AENDELEA NA MATIBABU YA JERAHA LA MGUU Read More »