TUZO ZA MCHEZAJI BORA WA CAF KUFANYIKA USIKU WA LEO
Tuzo za mchezaji bora wa soka zinatarajiwa kufanyika usiku wa leo (Jumatatu) katika ukumbi wa Palais des Congrès in Marrakech, Morocco na kwa wakati mwengine zimevutia washindani wakali. Victor Osemhen mchezaji raia wa Nigeria pamoja na klabu ya Napoli kule Italia ambaye msimu jana aliisaidia klabu yake kushinda ubingwa wa taji hilo baada ya miaka […]
TUZO ZA MCHEZAJI BORA WA CAF KUFANYIKA USIKU WA LEO Read More »

