Kimataifa

MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA YAZIDI KURINDIMA KWA KINADADA

Mashindano ya kombe la dunia yameendelea na mechi tatu zimechezwa ambapo mapema leo  Italia wamesajili ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Argentina. Mechi nyingine ambayo imetamatika hivi punde ni ile ya Ujerumani dhidi ya Morocco. Ujerumani wamesajili ushindi wa mabao 5-0. Timu ya taifa ya Brazil imesajili ushindi wa mabao 4-0 […]

MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA YAZIDI KURINDIMA KWA KINADADA Read More »

HARRY MAGUIRE KUPOKONYWA UNAHODHA

Harry Maguire ambaye amekuwa nahodha wa klabu ya Manchester United kule uingereza atapokonywa unahodha huo hata ikitokea hajauzwa msimu huu. Majarida kadhaa yameripoti kwamba huenda Bruno Fernandes akapewa kitambaa hicho au Casemiro kuelekea msimu ujao. Harry Maguire kwa sasa ameonekana hayupo kabisa katika mipango ya mkufunzi Erick Ten Hag na amewekwa mnadani huku vilabu kadhaa

HARRY MAGUIRE KUPOKONYWA UNAHODHA Read More »