Kimataifa

UHAMISHO; GUNDOGAN YWAELEKEA CAMP NOU, KIM AKIAHIRISHA UHAMISHO NA KUINGIA JESHINI KWANZA

Klabu ya Barcelona ambao ni mabingwa wa Laliga kule uhispania  wamekubaliana na Ikkay Gundogan  ambaye ni nahodha wa klabu ya manchester city walioshinda kombe la mabingwa ulaya pamoja na ligi kuu nchini Uingereza. Gundogan alikuwa amepewa ofa ya kuongeza uwepo wake katika dimba la Etihad lakini ameamua kuihama kambi hiyo na kujiunga na kambi ya […]

UHAMISHO; GUNDOGAN YWAELEKEA CAMP NOU, KIM AKIAHIRISHA UHAMISHO NA KUINGIA JESHINI KWANZA Read More »

RONALDO AINGIA KWENYE GUINNESS BOOK OF RECORDS

Mshambuliaji nguli wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo jana alizawadiwa cheti baada ya kuingia katika vitabu vya Guiness Book of Record kutokana na kucheza mechi nyingi zaidi akitumikia taifa lake. Kwa sasa Ronaldo ndiye mchezaji pekee aliyewahi kufikisha mechi 200 kutumikia taifa baada ya kuanza kusakatia Ureno soka mwaka 2003. Mreno huyo ambaye

RONALDO AINGIA KWENYE GUINNESS BOOK OF RECORDS Read More »

NKUNKU ASAJILIWA NA CHELSEA, MANCHESTER UNITED NA PSG ZIKIMWINDA HARRY KANE

Klabu ya Chelsea hii leo imethibitisha kuwa Christopher Nkunku atakuwa mchezaji wao pale darajani Stanford Brigde baada ya kukamilisha usajili wake kutoka klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani. Nkunku ametia saini mkataba wa miaka sita baada ya makubaliano ya uhamisho wa pauni milioni 52. Nkunku ameifungia mabao 16 waajiri wake wa zamani RB Leipzig pamoja

NKUNKU ASAJILIWA NA CHELSEA, MANCHESTER UNITED NA PSG ZIKIMWINDA HARRY KANE Read More »