Kimataifa

URUGUAY NDIO MABINGWA WA DUNIA KATIKA MASHINDANO YA U20

Timu ya taifa ya Uruguay ndio mabingwa katika mashindano ya kombe la  dunia ya soka nchini Argentina. Uruguay wamesajili ubingwa huo baada ya kuilaza italia kwa kichapo cha bao 1-0, bao ambalo limefungwa na Luciano Rodriguez katika dakika ya 86. Kwengine ni kwamba timu ya taifa ya Israel jana walisajili ushindi wa mabao 3-1 dhidi […]

URUGUAY NDIO MABINGWA WA DUNIA KATIKA MASHINDANO YA U20 Read More »

HAMTASHIRIKI MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA BILA WANAWAKE ZENU – CAF

Shirikisho la soka barani Afrika Caf limetangaza kwamba haitaruhusu klabu yoyote kushiriki katika mashindano ya shirikisho hilo bila kuwa na klabu ya kinadada inayoshiriki katika ligi inayotambulika katika taifa wanalotoka. Taarifa hiyo sasa inaiweka Gor Mahia lakini pia klabu ya Tusker roho juu pamoja na kuwa na tumbo joto kwani klabu  hizo kwa sasa ziko

HAMTASHIRIKI MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA BILA WANAWAKE ZENU – CAF Read More »