NAELEKEA MAREKANI, SITAKI HELA ZA SAUDI ARABIA – LIONEL MESSI
Messi amekubali kuhamia marekani katika Major League Soccer kwenye klabu ya Inter Miami akimaliza tetesi za uhamisho kuelekea Saudi Arabia au kurejea klabu ya Barcelona nchini Uhispania. Messi raia wa Argentina ambaye atakuwa anafikisha miaka 36 mwezi ujao amekubaliana na uongozi wa klabu ya Inter Miami ambayo kwa asilimia kubwa inamilikiwa na David Beckham mchezaji […]
NAELEKEA MAREKANI, SITAKI HELA ZA SAUDI ARABIA – LIONEL MESSI Read More »



