TETESI ZA UHAMISHO; MESSI, BENZEMA, GUNDOGAN
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid analenga kuyoyomea Saudi Arabia katika uhamisho ujao baaba ya kuchezea Real Madrid tangu mwaka 2009 aliposajiliwa kuka Lyon ya Ufaransa. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 35 ameshinda mataji 25 akiwa Santiago Bernabou na sasa ripoti za soka ulaya zadai kwamba anakaribia kupewa ofa nono kutoka klabu ya Al […]
TETESI ZA UHAMISHO; MESSI, BENZEMA, GUNDOGAN Read More »



