HAALAND ASHINDA TUZO UINGEREZA
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City lakini pia timu ya taifa ya Norway Erling Braut Haaland amechaguliwa na kupewa tuzo la mchezaji bora wa mwaka 2023 wa muungano wa waandishi wa habari. Haaland amepewa tuzo hilo kutokana na kuwa na kiwango bora msimu huu kwani katika msimu wake wa kwanza akiwa Manchester City amefunga mabao […]
HAALAND ASHINDA TUZO UINGEREZA Read More »



