Kimataifa

SHOKA LAITOA JUVENTUS KUTOKA NAFASI YA UEFA HADI ‘MTAA WA SABA’

Klabu ya Juventus, Italia imepigwa shoka la alama kumi baada ya maamuzi mapya ya mahakama ya shirikisho la soka la Italia iliyoafiki ukweli wa uchunguzi kwamba miamba hao wa Serie A walihusika katika udanganyifu katika masuala ya mahesabu ya fedha kipindi cha uhamisho. Kutolewa kwa alama kumi kwa Juventus sasa kunaifanya klabu hiyo kukosa matumaini […]

SHOKA LAITOA JUVENTUS KUTOKA NAFASI YA UEFA HADI ‘MTAA WA SABA’ Read More »

BORUSSIA YANYATIA UBINGWA WA BUNDESLIGA HUKU BAYERN IKIMEZA MATE TU!

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Borrussia Dortmund kule Ujerumani mwite Edin Terzic anasema kwamba kurudi kwa Sebastian Haller baada ya kufanyiwa upasuaji ndio jambo linalozidi kuwapa Matumaini ya kunyanyua ubingwa wa Bundesliga msimu huu. Katika mechi ya jana Sebastian Haller ambaye ni raia wa Ivory Coast alipachika mabao mawili wavuni mabao yaliyosaidia kuipa Borrussia ushindi

BORUSSIA YANYATIA UBINGWA WA BUNDESLIGA HUKU BAYERN IKIMEZA MATE TU! Read More »

MANCHESTER CITY YASHINDA UBINGWA, KYLE WALKER AKITISHIA MASHETANI WEKUNDU

Klabu ya Manchester City ndio mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu 2022/2023 baada ya kusajili matokeo mazuri msimu huu. Licha ya kushinda 1-0 dhidi ya Chelsea katika mechi ya jana (Jumapili) Manchester City inayoongozwa na mkufunzi Pep Guardiola ilikuwa imetangazwa mabingwa baada ya washika mtutu wa London Arsenal kupoteza kwa Nottingham Forest 1-0.

MANCHESTER CITY YASHINDA UBINGWA, KYLE WALKER AKITISHIA MASHETANI WEKUNDU Read More »