Timu ya taifa ya Uruguay ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 imefuzu kuingia fainali ya mashindano ya Kombe la dunia baada ya kuilaza Israel kichapo cha bao 1-0.
Watavaana na Italia katika fainali hiyo amao kwa upande wao waliitandika korea kusini kichapo cha mabao 2-1.
Fainali hiyo iyachezwa tarehe 12 mwezi huu Israel na Korea kusini zikikutana siku ya jumapili katika mechi ya kutafuta mshindi wa tatu na mshindi wan ne.
Mashindano hayo yanafanyika katika taifa la Argentina mwaka huu.

