Kimataifa

SUBRA YA MIAKA 40 YAFIKA KIKOMO IVORY COAST – KALOE

Solomon Kaloe, mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea anaimani kuwa mashindano ya kombe la Afcon mwakani yatakuwa ya kufana zaidi akiashiria jinsi ambavyo taifa la Ivory Coast limejiandaa kwa ajili ya kuwa wenyeji wa mashindano hayo. Mara ya mwisho mashindano ya Afcon yaliandaliwa Ivory Coast ni mwaka 1984, Kaloe ameeleza furaha yake kuwa subra […]

SUBRA YA MIAKA 40 YAFIKA KIKOMO IVORY COAST – KALOE Read More »

TEN HAG ASEMA UNITED WALIKUWA BORA KULIKO BAYERN JANA!

Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Eric Ten Hag amesema kuwa vijana wake jana walionyesha mchezo mzuri na hawakustahili kupoteza mechi yao dhidi ya Bayern Munich katika uwanja wa Old Trafford. Ten Hag ambaye kikosi chake kimetolewa kabisa katika mashindano ya Uefa anasema katika kila idara klabu hiyo ilikuwa imara lakini matokeo ya kupigwa bao

TEN HAG ASEMA UNITED WALIKUWA BORA KULIKO BAYERN JANA! Read More »